Comments

ads slot

Latest Posts:

WASAFI


Mwaka huu kuna wasanii kama kumi hivi ambao tayari wamethibitisha kutoa Album zao na kwenye hiyo Orodha usisahau kumuweka Barnaba Boy kwani nae tayari ameshathibitisha kuachia Album yake mpya mwaka huu.a
Barnaba amefunguka kuwa kuna wasanii wengi International ambao amewashirikisha mda ukifika atawataja na watu watarajie kitu kizuri kutoka kwa Barnaba na mwenyezi MUNGU akijalia itakuja hivi karibuni

Kwa upande wa wasanii wa nyumbani Tanzania Barnaba amefunguka baadhi ya wasanii kuwepo kwenye album hiyo ambayo haijapewa jina bado baadhi ya wasanii hao ni Jux, Vanessa Mdee, Gnako, Linex, Maua Sama na wengine ambao hakuwataja akisisitiza wapo wengi ila muda ukifika watawekwa hadharani


UNGANA NASI USIPITWE NA HABARI MPYA

Facebook: Star255
Instargram: Star255com
Twitter: Star255_
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment